”WATUMISHI 10,462 WAMEAJIRIWA” Naibu Waziri Dkt. Festo.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amesema Serikali imeajiri watumishi wa kada za Afya 10,462 Katika kipindi cha mwaka 2020/21 na 2021/22 na kuwapanga kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Uhitaji. Amesema hayo leo tarehe 07 Februali 2023 Bugeni Dodoma wakati akijibu Swali la Mbunge wa Jimbo la